June 27, 2013HII NDIO NDEFU YAKE SASA


MGONGOOO.....ATA KAMA UNA VIDOTI FOUNDATION ZIPO JAMANI

HII NI FUPI YA HIO APO JUU

MPASUOOO USISUBIRI MGUU WE VAA TU!
LACE DRESS...UKIPENDA UNAJUA CHA KUFANYA MPENDWA.UKIAGIZA UNAPATA NDANI YA WIKI MBILI NA UNALETEWA MAPKA ULIPO...0655 258 737

COMING SOONN!!HAYA MAMBO NA MENGINE MENGI AMBAYO SIJAYAWEKA HAPA YATAPATIKANA SOON DUKANI...JIANDAE

June 19, 2013

VIMENTOAJE SASA...UKIPENDA NAWEWE TOA ORDER YAKO UNAVIPATA IN 2 WEEKS

SNEAKERS WEDGE....Aisee staili hii ya kiatu sio yangu kabisa yani!ila tokea nimeanza kukivaa hiki  nafeel more comfotable kuliko heels!So nina mpango wa kuviongeza kama vitatu iviii nshanogewaaaaNANI KANOGA?BABY AMARIA

Me na  baby Amaria,Hongera yako Da Ester kwa kutuletea kichuna Amaria.Mungu akukuzie na mampe afya njema

MARRYLOU'S WEDDING


MR AND MRS MAJOR

Marrylou ni wifi yangu wanaishi Arusha Harusi imefanyika Dar.

MUNIRA'S WEDDING

Munni ni rafiki yangu wa shule japokuwa nilimzidi kidato kimoja ila tulipendana,tuksaidiana kwenye shida na tukacheka kwenye raha.Weekend hii ilikuwa harusi yake naikaona si vibaya nikashare nanyi