August 27, 2014

HEELS---JUMLA 40,000
VIATU VIPO KUANZIA SIZE 3-8 NA RANGI NI KAMA ZINAVYOONEKANA KWENYE PICHA
0655 258737,NILAM

FLAT SHOES KWA JUMLA
Hivi viatu vina size kuanzia 3-8
Toa order yako sasa

SHORT DRESS--JUMLA TSH 30,000
size 10-16size 8-12
size 8-14


size 8-14
Ukitaka kununua bidhaa hizi kwa jumla ni lazima iwe kuanzia piece 10 na kuendelea wapendwa.Kama kawaida ukitoa order yako unapata mzigo baada ya wiki 2....Tuwasiliane kwa 0655 258737

August 26, 2014

MY KINKY DREADLOCKS INSPIRED BY SHAMIM MWASHA


Mie niliamua kuchanganya rangi kidogo nikaweka light gold

si imenoga eeh??

loh hahah


Shamim mwasha
Kiukweli izi nywele ni nzuri na hazisumbui sababu zenyewe zikishabanwa ndio zinakaa hivyo mpaka utakapobadili tena style,hakuna stress za asubuhi kutafuta ubane nyele vipi au umepata mtoko wa ghafla unahaha uzifanyeje nywele zako.Kitu kinine zinakaa hadi miezi 3!!ni wewe tu kuweza kuzitunza

Ukizipenda cheki na Da Anna anapatikana pae makumbusho 0719 641383

ELIZABETH MICHAL...LULU


kisses