![]() |
Subira yavuta heri wapendwa...mmevumiliaaaa sasa zipo dukani wahi chakoo |
Hizi dresss pia zipo size tofauti |
![]() |
Hizi clutch habari yake ndefuuu...zipo pia |
Vingine nitapost kesho wapendwa maana hapa nimebanwaaa na majukumu so nikipata time navirushia umu...Kuna flats za kumwagaaa