October 4, 2013

LEGGINGS

TSH 30,000

HIZI RANGI ZPTE ZINAPATIKANA





TSH 40,000


TSH 70,000
 WET LOOK LEGGINGS













TSH 55,000

ZEBRA

MUSTACH

LEOPARD TSH 30,000



TSH 35,000

DIMOND BIRTHDAY 2013


Cake ikaletwa na wifi Queen Darleen

Thank u baby mama(in dimondo voice)

October 3, 2013

NEON SHOES...ORDER NOWW

NIMEGINDUA SIKU HIZI WADADA WA MJINI MNAPENDA NEON COLOURS,SO NIMEWALETEA HIZI MJIPENDELEE.UKIPENDA WASILIANA NAMI ...0655 258 737 NILAM,fatmashokat@gmail.com
TSH 160,000

TSH 165,000

PREG WITH SWAG...ORDER NOWWW



TSH 80,000

October 1, 2013

CHUNKY BELT PIA ZIPO



TSH 25,000.ILA HIZI NI ZA WATU WANENE KUANZIA KWENYE SIZE 16 NA KUENDELEA

MZIGO UPO DUKANI WAPENDWA

HIGH HEELS NI TSH 65,000



Hiki kiatu ni hatari ya kuotea mbali asee



 FLAT SHOES NI TSH 30000









Unaweza kuletewa mahali ulipo hiyo ni FREE.

PHONE COVERS...ORDER NOW

1

2

3

4

5

September 30, 2013

THANKS TO ALLAH NA KILA ANAENISAPOT

Mie mwenzenu napenda vitu Unique yani nikiwa nacho kisiwe common,So kesho nitawaekea cocer za simu kaliii wenyewe mtafurahi.

Kwa wale mlionambia niweke nywele labda  tu niwaambie mie sio mpenzi wa nywele so sizijui!!So wewe kama unataka nywele wasiliana nami niambie nywele gani unataka mie ndio nitaanzia hapo kufanyia kazi suala lako.Hope tumeelewan wapendwa.
    

    Sijawasahau wale naotaka tufanye biashara kwa jumla,nafanyia kazi maombi yenu wapendwa.Nitakapokuwa tayari tutafahamishana humuhumu.

      Thanx kwa wale wote mnaonisapoti nawapenda mnooo nataraji mtaendelea kunisapoti