Munni ni rafiki yangu wa shule japokuwa nilimzidi kidato kimoja ila tulipendana,tuksaidiana kwenye shida na tukacheka kwenye raha.Weekend hii ilikuwa harusi yake naikaona si vibaya nikashare nanyi

|
OFFICIALLY MR AND MRS SULEIMAN SALIM. |
 |
with my childhood friends,from left Naila,me and Warda ako ka mwisho ni katoto tu ka siku hizi Sukayna |
 |
On my way to Munni Maulid,aarrgh apa jua limeharibu picha |
HONGERA MY DEAR MUNIRA INSHAALLAH ALLAH AWAPE MAISHA YENYE UPENDO NA AMANI KATIKA NDOA YENU.AWAJAALIE NA WATOTO WEMA WENYE USIKIVU
No comments:
Post a Comment