Iliandaliwa keki watu wakafungua na champagne pale mkaka akasuuutwaaaa hakubakishwa doh!!
 |
keki ikikatwa na Maimatha |
Na huyo anayekula keki ndio mbea mwenyewe,hapo kaitwa kula keki akiwa hajui kama hiyo keki inamuhusu.Baada ya kubwia pande lake ndio akaambiwa soma kilichoandikwa juu ya keki!!!Alionaje hayaaa
 |
kaekwa mtu kati msuto ukaanza...konkoliko...umbea uache hahahah |
Sajoni jirani ya maimartha pale dukani kwake k/nyama,kilichofanya mpaka akasutwa bwana yule alikua akichukua maneno na mambo yote anayofanya Maimatha pale dukan pamoja na kila mgeni wa kiume atakayeingia dukani anaenda kumwambia mumewe Shaa.
No comments:
Post a Comment