Showing posts with label UNAIONAJE?. Show all posts
Showing posts with label UNAIONAJE?. Show all posts

October 24, 2013

WEDGE SNEAKERS

Ciara


Tiny with hubby TI rocking wedge sneaker

Hii ndio post ikakayofuata...WEDGE SNEAKERS ndio habari ya mjiniii so sikose kupita humu nawe ujiagizie yako.kama kawa naweka we unatoa order yako

June 27, 2013



HII NDIO NDEFU YAKE SASA


MGONGOOO.....ATA KAMA UNA VIDOTI FOUNDATION ZIPO JAMANI

HII NI FUPI YA HIO APO JUU

MPASUOOO USISUBIRI MGUU WE VAA TU!
LACE DRESS...UKIPENDA UNAJUA CHA KUFANYA MPENDWA.UKIAGIZA UNAPATA NDANI YA WIKI MBILI NA UNALETEWA MAPKA ULIPO...0655 258 737

May 22, 2013

VYANGU ILA NAWE UKIPENDA UNAWEZA KUVIPATA

iki sikukubali mpaka nimekipata ebu kicheki apo kilivonitoa...lol


WEDGE SNEAKERS....NILIVIONA SIKU YA KWANZA NKASEMA HIVI VINANIHISU HAHAH SO NIMEAGIZA ZA LEOPARD PRINT,VIKIFIKA NTAKUJA KUWARINGISHIA APA LOL!



KIMENITOA EEH


April 29, 2013

PRINCESS FATIMA KULSUM ZOHAR MASHAALLAH


KATIKA PITA PITA ZANGU NIMEKUTANA NA HII THE MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD!MIMI NI MWANAMKE LAKINI SICHOKI KUMUANGALIA KAMA SI KUMSHANGAA!!

April 4, 2013

MMMHHHHII


Hii kitu haiuzwi nimemletea my baiby beiby Warda,shoga  unajiweza maana kutembelea umo mmh

March 14, 2013

March 8, 2013

KICELEBRITY ZAIDI

Kitu iko kama umekipenda cheki na mimi kwenye namba yangu apo juu,mwaka huu mshindwe nyie tu kutoka kicelebrity