SNEAKERS WEDGE....Aisee staili hii ya kiatu sio yangu kabisa yani!ila tokea nimeanza kukivaa hiki nafeel more comfotable kuliko heels!So nina mpango wa kuviongeza kama vitatu iviii nshanogewaaaa
Munni ni rafiki yangu wa shule japokuwa nilimzidi kidato kimoja ila tulipendana,tuksaidiana kwenye shida na tukacheka kwenye raha.Weekend hii ilikuwa harusi yake naikaona si vibaya nikashare nanyi