![]() |
Pendeza sana HotLulu |
![]() |
Hot |
![]() |
Sexy Wolper,ila jifunze kupozi na dress yenye mpasuo |
Yeeww hapo sasa ndio mwake sexyyyy |
![]() |
Madam lukin gud ila |
![]() |
Lace dress imekaa magala pake |
![]() |
Next time ujipange hapo kifuani mamii |
![]() |
Mi nadhani hapakuwa na haja ya kushika hiyo nguo acha tuone wenyew mpasuo,na hiyo bra ya pink ni BIG NO! |
![]() |
Dress imekuangusha mamii kawaida sana,next time uvae kiatu size yako |
![]() |
MMHHH!! |
![]() |
Elsy lovey the fashionista mie sijaelewa hizo soksi apo chini |
![]() |
Baba Haji ni nini iko umevaa kwenye Red Carpet? |
![]() |
Ivi umewahi kumuona Denzel na funguo za gari kwenye Red Carpet?! |
Too casual Ray |
Petit man |
![]() |
Nimemuelewa Ombeni |
HAYA YOTE NI MAWAZO YANGU TU NA SI KWAMBA IMI NDIO NAJUA SANA NIMEJIONEA VITUKO VINGI KWENYE HIYO RED CARPTET NIKAWASHWA KUPOST HIVI.ALL IN ALL WENGI WALIPENDEZA SANA
No comments:
Post a Comment