Jackline Ntuyabaliwe Miss Tanzania 20000.Ulipendeza sana ila dress haikutendewa haki na bra!! |
Lady in Black |
Mie mwenzenu mgonjwa wa viatu apa niko hoi |
Husna na mwenzako nimewapenda bureee |
Nimeguna!!! |
Nimeguna mie!! |
Kusema ukweli tangu nimjue Sauda mwilima le |
BLONDE is a new BLACK kazi kwenu mnaoweza kucheza na nywele zenu |
Wacha weeeee |
Nimeguna!!wewe je? |
MMMHH!!! |
Mnaijua nyanyua nyonyo??ndio inatumikaga katika nguo kama hizi sasa |
Kamandio mlikwa hivi meza yenu ilinogajee |
Naomba kuuliza...ivi mpasuo ndio ilikua habari siku hio eeh?? |
Miss TZ 2011 Salha |
Majaji kazini
TOP 5 |
MISS TANZANIA 2013 Happiness with Rio Paul |
Maneno ya kwenye picha ni kwa mtazamo wangu mimi pia naamini kila mmoja kapendeza kwa namna yake.Kwa picha zaidi tembelea 8020fashions na millardayo.
No comments:
Post a Comment