February 15, 2013

Hallow wapendwa,duka la UNIQUE DESIGN linapatikana Changombe mchicha just opposite na Camel oil kabla hujavuka mataa ya usalama.Tunauza products original kutoka Uingereza tunadeal na vitu vya akina dada kama nguo,viatu,handbags,jewellery pamoja accessories.Pia tunafanya delivery mpaka mlangoni kwako hiyo ni ndani ya dar tu japokuwa tunatuma pia na mikoani.Kwa mawasiliano zaidi call 0655 258 737 Nilam(Fatma)Poleni kwa usumbufu wowote mtakaopata sababu bado blog ipo kwenye matengenezo soon itakamilika na mtaenjoy