November 26, 2014

WAIST TRAINER(corset)



Habari ya mjini ni kuwa na kiuno nyigu.manyamanyama ya kiuno yote tupa kule.Hizi ni corset ila zina utofauti mkubwa na zile za kawaida, hizi zenyewe zinafanya kazi kubwa zaidi.ukiivaa kwa mwezi mzima bila kucjeat utayafurahia matokeo yake.
Kwa data za how it works ingia kwenye instagram page yangu @uniquedesignbynilam utapata habari zote

November 25, 2014

HANDBAGS ZOTE HIZI ZIPO DUKANI...TSH 70,000












Folloe account ya duka kwenye instagram upate update za vitu mbalimbali...@ uniquedesignbynilam

November 19, 2014

ZIPO DUKANI SASA





Kindly follow my instagram page uniquedesignbynilam kwa update ya bidhaa mbalimbali zilizopo dukani.Kule pako active zaidi ya huku kwenye blog.