February 26, 2014

February 25, 2014

NECKLACE...ORDER

unazikimbuka hizi??enzi hizooooo.....sasa saivi fashion inarudi tena

Aztec gold bronze necklace....TSH 100,000

ZARA diamate statemente collar nacklace...TSH 90,000
HIZO ZA JUU AMBAZO HAZIJAANDIKWA BEI NI TSH 23,000

February 21, 2014

PLAYSUIT..ORDER
Nyuma
Bei....85,000
Available sze
8-14 uk size

February 20, 2014

Synthetic Clip In Ponytail

Kuna inch 22 straight ponytail hio picha ya kulia na
inch 18 curly ponytail picha ya kushoto na rangi zinazopatikana ni hizo zinazoonekana kwenye picha.
Zote ni za kuagiza hazipo dukani.

VIPO DUKANI

brown with gold tip...size 6/39

George Gladiator style flat size 6...real leather

February 15, 2014

SEXY PARTY/CLUB MINI DRESS...ORDER


Nataka kuziagiza hizi nguo lakini before that nawapa nafasi na nyie kama utapenda nawe kutoa order yako iwe ya jumla au kawaida basi unaweza kuchagua na ukanipigia simu.Sitoleta style zote hizi nitachagua tu baadhi,nimeweka nyingi kwa ajili ya atakaetaka kuchagua yake ya kuagiza.Nitaziagiza jumamosi ijayo ili kuwapa nafasi wale wataohitaji so kuna wiki nzima ya kufanya maamuzi.
   CALL ME 0655 258737,Nilam