May 31, 2014

PIGO LENGINE BONGO MOVIE.GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA


gari iliyochukua uhai wa mrehemu tyson

(kushoto)marehemu na aliyekuwa mkewe muigizaji monalisa((kulia)akiwa na mwanaye sonia


 hii ilikua masaa ma kuanza safari chache kabla ya kuanza safari ya darAliyekuwa Director wa movie Bongo na muongozaji wa vipindi mbalimbali vya Tv George Tyson afariki dunia usiku wa kuamkia leo huko mkoani Morogoro.Marehemu alikua njiani akirudi Dar kutokea Dodoma walikoenda na wenzie kuadhimisha miaka miwili ya kipindi cha The Mboni Show ndipo mauti yalipomkuta......Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen

May 28, 2014

KAJALA,WEMA ...NAIMA.UMJINI KAZI!!!Ila siku hizi kuna mchezo mtu anakua na simu mbili anasevu majina anayoyataka,then anafanya chatting yeye mwenyewe akijifanya ni watu wawili tofauti walikua wanachat!!Anacapture na matokeo yake ndio hayaaaa!!!Akili kumkichwa
Siongezi neno mieeee....Ila i wonder hawa watu story za watu wanazitoa wapi!!Mie naamini hawa watakuwa ni watu wao wa karibu wanaowajua in and out ndio wanakuja kuyamwaga hadharani na kuwadhalilisha wenzao.

May 27, 2014

MZIGO UPO DUKANI TAYARI....WEDGESMzigo ndio huooo wapendwa,mambo ya wedges wahi zako mapema.....call me 0655 258737,Nilam

ACTION SPEAKS LOUDER THAN VOICE....ALHAMDULILLAHApa ndo pa kijidai mother house sasa
Mshukuru mungu kwa kila hatua unayopiga katika maisha yako,maana bila yeye usingeweza kufika hapo ulipo.Na siie tunasema Alhamdulillah.Siku nyingine ntawaekea picha za mchana

May 23, 2014

FATMA'S WEDDING MAULID

Masha Allah bi harusi alipendeza 


Fatma ni rafiki yangu wa utotoni tulicheza sana kima mama lol...if u know what i mean
On my way to Harusini nkaanza kujifotoa kwenye gari
Mie mpenda picha hahah
My precious mum
MABROUK FATMA
INSHA ALLA MWENYEZI MUNGU AWAPE MAISHA YENYE AMANI,FURAHA NA UPENDO

TAARIFA!


Kwa muda wa wiki moja hapatakua nahuduma ya kutoa order za vitu vya UK kwa sababu za marekebisho kidoogo katika kuboresha huduma zetu.Msiwe na wasi wasi kwani baada ya wiki hiyo moja kila kitu kitarudi kwenye mstari na tutaendelea kupendezeshana kama kawaida....MUCH LOVE...NILAM