March 11, 2013

COMING SOON

Wale wenzangu wanaopenda nyoyo sa 6 hii inawahusu,ukibandika izo vitu huna haja ya kubust tena ni invisible so unaeza vaa na nguo ya kifua wazi na mambo yakawa poa.SOON ITAPATIKANA DUKANI

2 comments:

  1. we fatma hii sasa hatar unayotuletea kwa hy hata kama kitu ndala kinakuwa saa sita

    ReplyDelete
  2. Hahahah iyo inaitwa nyanyua chuchu mama,ndala mwisho chalinzeeee

    ReplyDelete