April 22, 2013

MY BIRTHDAY 2013

Hivi ndio siku ilivyokwenda pale DURBAN DELHI RESTAURANT,Hushby alinianyia suprise dinner.Kiukweli  siku ile mpaka imefika saa moja usiku sijakata cake nlikua nimenuna mwenyewe.usiku hushby akanambia twende kula si ndio kufika pale nakuta watu wamejaa khaa chozi la furaha lilinitoka.THANKS HUSHBY
Hahaha cake iliandikwa hivi
with my heart
mama akinilisha cake
me my lil brother na mama

mtaalam wa kujifotoa
with my twin twin Sallyta
hii ndio nyomi niliyoikuta
wadogo zangu mie sukayna and hasnein
me mama na hasnein
muba and twin
huyu mtoto mbaya sana,siku ya tukio nilikua nachat nae mpaka jioni na hakajaniambia
with my Angel
me and my inlaw Mama Sara
Thank you hushby kwa suprise dinner,me love u so much(mwakani tena eeh? hahahah)

Apo mwenyewe nimetoka kulia machozi ya suprise lol