May 22, 2013

VYANGU ILA NAWE UKIPENDA UNAWEZA KUVIPATA

iki sikukubali mpaka nimekipata ebu kicheki apo kilivonitoa...lol


WEDGE SNEAKERS....NILIVIONA SIKU YA KWANZA NKASEMA HIVI VINANIHISU HAHAH SO NIMEAGIZA ZA LEOPARD PRINT,VIKIFIKA NTAKUJA KUWARINGISHIA APA LOL!KIMENITOA EEH