February 15, 2014

SEXY PARTY/CLUB MINI DRESS...ORDER


Nataka kuziagiza hizi nguo lakini before that nawapa nafasi na nyie kama utapenda nawe kutoa order yako iwe ya jumla au kawaida basi unaweza kuchagua na ukanipigia simu.Sitoleta style zote hizi nitachagua tu baadhi,nimeweka nyingi kwa ajili ya atakaetaka kuchagua yake ya kuagiza.Nitaziagiza jumamosi ijayo ili kuwapa nafasi wale wataohitaji so kuna wiki nzima ya kufanya maamuzi.
   CALL ME 0655 258737,Nilam