August 26, 2014

MY KINKY DREADLOCKS INSPIRED BY SHAMIM MWASHA


Mie niliamua kuchanganya rangi kidogo nikaweka light gold

si imenoga eeh??

loh hahah


Shamim mwasha
Kiukweli izi nywele ni nzuri na hazisumbui sababu zenyewe zikishabanwa ndio zinakaa hivyo mpaka utakapobadili tena style,hakuna stress za asubuhi kutafuta ubane nyele vipi au umepata mtoko wa ghafla unahaha uzifanyeje nywele zako.Kitu kinine zinakaa hadi miezi 3!!ni wewe tu kuweza kuzitunza

Ukizipenda cheki na Da Anna anapatikana pae makumbusho 0719 641383