November 26, 2014

WAIST TRAINER(corset)Habari ya mjini ni kuwa na kiuno nyigu.manyamanyama ya kiuno yote tupa kule.Hizi ni corset ila zina utofauti mkubwa na zile za kawaida, hizi zenyewe zinafanya kazi kubwa zaidi.ukiivaa kwa mwezi mzima bila kucjeat utayafurahia matokeo yake.
Kwa data za how it works ingia kwenye instagram page yangu @uniquedesignbynilam utapata habari zote