June 19, 2013

MUNIRA'S WEDDING

Munni ni rafiki yangu wa shule japokuwa nilimzidi kidato kimoja ila tulipendana,tuksaidiana kwenye shida na tukacheka kwenye raha.Weekend hii ilikuwa harusi yake naikaona si vibaya nikashare nanyi

OFFICIALLY MR AND MRS SULEIMAN SALIM.

with my childhood friends,from left Naila,me and  Warda ako ka mwisho ni katoto tu ka siku hizi Sukayna


On my way to Munni Maulid,aarrgh apa jua limeharibu picha


HONGERA MY DEAR MUNIRA INSHAALLAH ALLAH AWAPE MAISHA YENYE UPENDO NA AMANI KATIKA NDOA YENU.AWAJAALIE NA WATOTO WEMA WENYE USIKIVU