June 19, 2013

VIMENTOAJE SASA...UKIPENDA NAWEWE TOA ORDER YAKO UNAVIPATA IN 2 WEEKS

SNEAKERS WEDGE....Aisee staili hii ya kiatu sio yangu kabisa yani!ila tokea nimeanza kukivaa hiki  nafeel more comfotable kuliko heels!So nina mpango wa kuviongeza kama vitatu iviii nshanogewaaaa