March 20, 2014

NEW COUPLE IN TOWN...GLORY AND ERIC

Masha aAllah
sura za furaha
mtu na dada yake

Nilam
on my way...nilichelewa sana kufika nilinunaje sasa


with my lovey Antu
na bi harusi


hahah aliyedaka ua la bi harusi alikuwa Malaika...mama tunataka majibu ya hilo ua

They made it
Congratulations, dear friends! Wishing you a happy and healthy family, a huge house along the way and generations of beautiful children!