March 17, 2014

SHAMIM MWASHA
Katika maisha unaweza ukawa unafanya vitu vyako bila kujijua kuna mtu mahali fulani anakupenda anakuangalia na kufuata nyayo zako in a good way.Nadhani ndio ilivotokea kwangu mie,Huyu dada nilimuona mara ya kwanza kupitia blog yake  nikahisi ana vitu ambavyo naweza kujifunza kupitia kwake.Nikaanza kumfatilia taratibu na leo  hii vimenifikisha hapa nilipo.Naweza sema Shamim ndiye alinihamasisha kuingia katika hii biashara na mpaka kufungua hii blog.In sha allah mwenyezi mungu akupe afya  njema na maisha marefu yenye mengi mafanikio