June 18, 2014

KUJIKUBALI NI KITU MUHIMU SANA

hahah babu wa kfc anacheza biringe bayoyoo asee inabidi kfc wadai fidia  kwa kuharibiwa bango lao


maskini maka kabati limepinda

ile fremu ya mlango sasa!!!


mweh!!
Angalia kwa makini picha utaona kila moja ina kasoro yake ilipokua inaeditiwa.Wadada wa mjini mna mambo sana mwisho wa siku ndio kama hivi unapata aibu.Kama una  kitambi piga tizi upatie flat tummy,huna kitako jikubali tu ndio ushaumbwa hivo sio kujiedit alafu unaweka kwenye mitandao ya kijamii watu wanakuchoraa wanakuumbua kama hivi!!