June 20, 2014

LOOK STYLISH WITH RAMADHANMwezi mtukufu wa Ramadhan ndio huoooo unapiga hodi tumebakisha wiki moja tu.Ramadhani ni mwezi wa stara basi tutakua tunapeana Tip za jinsi ya kuvaa kipindi cha Ramadhan huku ukiendelea kujistiri na kwenda na wakati.Unaweza pia kishare picha nami nikaiweka humu....nitumie kwenye www.uniquedesignme@gmail.com