September 26, 2014

ORIGINAL SLEEK PRODUCTS

Sleek Lipstic

Sleek sheer cover

Sleek velvet touch foundation

Sleek new skin foundation
Acha kupaka vipodozi visivoeleweka  vingine kopo zake hata majina hakuna!alafu utamsikia mtu anakwambia eti zile product ambazo hazina majina ndio zenyewe zile!!Jali ngozi yako Kwa kutumia original product.Sleek ni nzuri Kwa mtu mweupe na mweusi zinakuja katika shade tofauti tofauti so unapaka kutokana na rangi yako....
Bei no Tsh 30,000 unaletewa mpaka ulipo