September 5, 2014

QUEEN ELISABETH COCOA BUTTER ZIPO DUKAN

Jamani nawatahadharisha Sasa hivi zimefimuka Queen Elisabeth feki huko mitaani zinauzwa kama njugi,na kuna mdada maarufu ndio anazisambaza  mbaya zaidi anaziuza Bei ghali kuliko kawaida.So angalieni msije unguzwa ngozi