November 22, 2013

CLIP HAIR EXTENSION


Hizi ni wig zinakuja kwa style ya clip si ya kusuka.Inapatikana katika rangi ya Natural black,Dark brown,Midium brown,Light brown na Bleach blonde so kazi kwako unapenda rangi gani.Ina urefu wa inch 7.