November 14, 2013

WALL STIKERS


TSH 45,000Hizi zinakuja sticker 5 kama unavoziona TSH 55,000

Despicable Me

Hii ina small,Regular nma Large na vipimo vyake ni kama unavoviona.TSH 85,000


Nahisi kuipenda hii lol...TSH 55,000

small

Medium

large na hiyo apo chini  ni mix

Sizes
Large pack 12x Butterflies              W5.5 x H4cm
Medium pack 30x Butterflies           W4.5 x H3cm
Small pack 42x Butterflies               W3 x H2.5cm
Mixed Pack 36x Butterflies
Contains -Medium (W4.5 x H3cm) and Small (W3 x H2.5cm)
 Hiyo apo juu  imebidi niweke maelezo yake marefu ili nieleweke vizuri.Zina rangi zote so unatakiwa kujua unataka kuchanganya rangi gani na gani
Tsh 50,000

Tsh 55,000

Tsh 45,000


Hii nimeichukua  naiweka public toilet

Hii na ya juu yake ni za bafuni TSH 50,000Hizi za sink ni TSH 45,000

Hii inaglow gizani ni kwa ajili ya kuweka  kwenye switch TSH 25,000
Nimepata tu hamu ya kuwaekea hivi vitu wapendwa.Wanasemaga kizuri kula na nduguyo na mie katika kutafuta vya kwangu kwa ajili ya kupambia nyumba mpya  nikaona niwaonyeshe mkipenda niwaagizie....au mnaonaje?


    
        Ukipenda kama kawa nivutie waya tu