November 23, 2013

FULL METAL BELT

Kizuri kula na nduguyo....Kuna hizi belt ndio nataka kuziagiza  so kama nawewe unazitaka tutafutane mampema ili niwe na idadi kamili ya kununua,maana hizi zinachukua zaidi ya wiki mbili kufika .

Bei ni Tsh 40,000
Colour;Gold ,Silver