December 17, 2013

FATIMA JULIENNE...MAMILLO'S WEDDING


Masha AllahNa dada ake


UKUMBINI


Ah hapa simu iligoma kutoa flash mweh..
ila mtoto anang'ara  mpaka gizani

bi  harusi shurti achoriwe picco

Mwanamke poziii

HIZI ZA SIKU YA  LUNCH NYUMBANI KWAO BI HARUSI

Bi Harusi anapenda picha huyo hahah


Sie na Bi harusi wetuu
Bahati mbaya nikasahau kushukua picha ya Bwanaharusi.