December 31, 2013

VIPO DUKANI SAIVI


Subira yavuta heri wapendwa...mmevumiliaaaa sasa zipo dukani wahi chakoo

Hizi dresss pia zipo size tofauti


Hizi clutch habari yake ndefuuu...zipo pia 

Vingine nitapost kesho wapendwa maana hapa nimebanwaaa na majukumu so nikipata time navirushia umu...Kuna flats za kumwagaaa