December 8, 2013Picha hizo za juu yote ni kama sidiria na yana nafasi ndani ya kukaa nyonyo lako.
size zote zipo kuanzia A-E....TSH 185,000

Haya ni sidiria pia ila hayana nafasi ndani,nadhani haya yanawafaa zaidi wale wenzetu wenye matatizo wakakatwa maziwa yanawafaa haya.size zote zipo pia....BEI NI TSH 185,000


Haya ni ya kupachika tu,yana nafasi ndani size zote zipo...TSH 150,000

Hii ni bra iko transparent,ndani ina nafasi inayowezesha kuingiza
hayo maziwa na yanakuwa yanaonekana kwa nje,Haiji na maziwa yake ni sidiria peke yake...TSH 120,000
WANASEMA WENGI WAPE.NA MIE NIMEAMUA KUWAPA WAPENZI WANGU.YALE MANYONYO NILIYOWEKA JUZI YAMELETA GUMZO HUMU NDANI.SO NIMEWALETEA TENA HAYA YAKIWA NA MAELEZO KIDOGO...0655 258737 NILAM