July 23, 2014

HIJAB SWAGG

 crazy gals


Nani kasema hijab Hainan swagg?hupendezi ukivaa,ukivaa unaonekana umepitwa na wakati!!kuna styles nyingi za kuvaa hijab na bado ukaonekana Wa Leo na unakwenda na fashion.