July 21, 2014

MSUTO!!!

 Iliandaliwa keki watu wakafungua na champagne pale mkaka akasuuutwaaaa hakubakishwa doh!!
keki ikikatwa na Maimatha

 Na huyo anayekula keki ndio mbea mwenyewe,hapo kaitwa kula keki akiwa hajui kama hiyo keki inamuhusu.Baada ya kubwia pande lake ndio akaambiwa soma kilichoandikwa juu ya keki!!!Alionaje hayaaa
kaekwa mtu kati msuto ukaanza...konkoliko...umbea uache hahahah
Sajoni jirani ya maimartha pale dukani kwake k/nyama,kilichofanya mpaka akasutwa bwana yule alikua akichukua maneno na mambo yote anayofanya Maimatha pale dukan pamoja na kila mgeni wa kiume atakayeingia dukani anaenda kumwambia mumewe Shaa.