July 1, 2014

LUXUARY PURSE,WALLET CARD & KEY HOLDER....ORDER


wallet

wallet ilivyo ndani

wallet card

wallet card ndani

key holder

key holder mwonekano wa ndani
Kikawaida tumezoea kutembea na wallet ya pesa peke yake ndani ya mabegi yetu huku ukichanganya na bussiness card na kadi wa benk ndani ya wallet ya pesa funguo za nyumba nazo zinazagaa tu ndani ya handbag.Sasa hii set itakusaidia vitu vyako kwenye begi vikae kimpangilio.....Funguo zitakaa kwenye pochi yake,kadi zote zinakaa kwenye pochi yake.....sasa hapo hata ukichungulia ndani ya pochi yako kunakua na hali nzuriAGIZA LEO...BEI YAKE NI TSH 50,000 KWA SETI ZOTE 3