October 10, 2013

NIMEIBIWA SIMU SORRY KWA ALIYENITAFUTA

So sorry kwa yeyote ambae amenitafuta kwa njia ya simu tokea jana hakunipata.Nimeibiwa simu jana,ila ndio nashughulikia so baadae kidogo naweza kurudi hewani.Poleni kwa usumbufu.Kuwasiliana nami kwa picha nicheki fatmashokat@gmail.com....saiv nimepata simu ya temporary ila whatsup sipo