| Hiki kiatu kinanoga mguuni hataree |
| miungoni mwa viatu nilivouza sana toka nimekieka humu ni hiki!!na bado vinapatikana so ukitaka unaagiza tu chako |
| unakionaje??hivi vimeisha wapendwa so huwezi agiza tena |
| ga-ga ula laa hiki dukani kimebaki size 7 tu ila ukikitaka unaweza toa order yako ukaipata ndani ya wiki 2 |
| hii rangi acaha nayo kabisaa ni bad news |
| Tsh 65,000 |
| hivi viatu nimevipendajee...viporangi hizo 2.Tsh 30,000 |
| 2in 1 handbag.Tsh 65,000 |
No comments:
Post a Comment