October 11, 2013

SWAG ZA HARUSI...ORDER NOWWWW

I DO sticket za kubandika chini ya kiatu cha Bi harusi,zinapatikana.Pia kuna za Bwana harusi kama 
SHE DOES,SHE'S MINE.Haya mambo si lazima ila tu yanaongeza ladha....TSH 20,000 Imagine uko honeymoon mchangani na husband pembeni kila mnapokanyaga mnaacha alama imeangikwa JUST MARRIED si inanoga eeh??Haya sasa hizo kwa ajili ya bibi na bwana Tsh 35,000
Cufflinks kwa ajili ya Best man,Groom,Brother of the bride zipo mpaka za Cousin wewe tu unataka.Tsh 25,000 per 1 Hivi ni vibox unaweza wekea zawadi kama zile wanazotoa mlangoni watu  wakiwa wanaingia...chagua rangi ya sherehe yako.tunaanzia box 50 inakuwa 100,000...so zikiwa box 100 itakuwa 200,000
Msije kjashangaa siku nawaambia naleta mpaka nguo za harusi wapendwa maana mie mgonjwa wa vitu vizuri.Napenda kuona mtu kapendeza mpaka siku ya harusi.Naweka mambo flani flani sawa ili nianze na hiyo kazi ya kuleta nguo za harusi ila itakuwa ni za kike tu.Nikiwa tayari tutafahamishana tu humu hum