October 26, 2013

OFFICIALLY TUNACHUKUA ORDER ZA JUMLA

Blue

green

CREAM

Purple

1

2

3

blue

Red


Black

Pink

Khaki
Naulizwa sana kuhusu kuuza vitu kwa jumla,nilikua nashindwa kufanya sababu mie mwenyewe nanunua vitu kwa bei ghali sana  na kuviuza kwa bei za kawaida tu ili kila mtu aweze kuafford.
     Sasa linapokuja suala la kuuza kwa jumla nakua najiuliza hawa watu wataweza?Pia nilikua nikijiuliza ntawauzia bei gani ili mtu aridhike.Lakini sasa nimeshayafanyia kazi yote hayo and i hope mtafurahia huduma.Hii itakuwa kwa kila unachokiona humu basi utaweza kukinunua kwa jumla

Sasa natangaza rasmi nimeanza kuchukua order za jumla,hiyo itakuwa kwa Dar na mikoani.Ninachohitaji ni uaminifu kwenye hii biashara ndugu zangu.Kwa maelezo zaidi nipigie 0655 258737,Nilam