May 6, 2014

WELCOME TO THE WORLD BABY NICKLAUS

cute masha allah

Belinda,Amble(dad),Nicklaus....wana mbwembwe hao!

His little hands stole my heart wallah.
Yani nilikuwa siishi kumkagua hahah....nilimuanzia tukucha adi ninywele vyake!!!
Belinda ni rafiki,dada na ndio alikua bondia wangu shule nilikua siguswi yani...nichokoze nikuitie Belly lol....she is the best thing i ever had!!Tarehe 18 apr ilikuwa Birthday yangu na yeye ndio alikuwa mtu wa pili kuniwish baada ya Husby.Tarehe 26 apr ni Birthday yake mwenyewe nikajipanga asubuhi mapemaa nimuwish...nikakutana na good news,Baby Nicky was in da house(so mama na mwana wanashare bday...so sweet).Mara ya mwisho kutoa chozi la furaha ilikuwa mwaka jana hushy aliponifanyia suprise ya birthday dinner.Mara hii ni ujio wa baby Nicky chozi lilinitoka nilishindwa kujizuia.Belindah i am so proud of u sweethert hope your newbaby brings you all the happiness you deserve much love to you and Nicklaus Gordon