May 31, 2014

PIGO LENGINE BONGO MOVIE.GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA


gari iliyochukua uhai wa mrehemu tyson

(kushoto)marehemu na aliyekuwa mkewe muigizaji monalisa((kulia)akiwa na mwanaye sonia


 hii ilikua masaa ma kuanza safari chache kabla ya kuanza safari ya darAliyekuwa Director wa movie Bongo na muongozaji wa vipindi mbalimbali vya Tv George Tyson afariki dunia usiku wa kuamkia leo huko mkoani Morogoro.Marehemu alikua njiani akirudi Dar kutokea Dodoma walikoenda na wenzie kuadhimisha miaka miwili ya kipindi cha The Mboni Show ndipo mauti yalipomkuta......Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen