May 14, 2014

LEO NAJIPENDELEA MWENYEWE

meri papa

siku hii nilifanyia make up  nyumbani basi baba angu akawa amekaa tu pembeni ananiangaliaaaaa hahah
akaniuliza...kwahio ukirudi nyumbani hizo unazpaka zote unatoa au!!!nami nkamuuliza kwani enzi za mama alikua hajipodoi au

wanasemaga mtoto wa kike na babaake na wa kiume wa mamake
mamushka(samira)

anasema jina la mamushka nimuite mimi tu,wengine wote muiteni samira lol


with my habiy

hushby wa mine


apa tulikua tunarudi safari yetu...kauso kameshachokaaa lol