September 25, 2013

AKIJIACHIA KWA MAPOZI YOTEKuna raffiki yangu kanitumia hizi picha za huyu mrembo anaitwa Careen.Hapo kaambiwa weka pozi nkupige picha basi kenyewe ndo kananiachia hahah.Huyu lazima atakuwa mpenda picha kama mie mweh!!