September 30, 2013

THANKS TO ALLAH NA KILA ANAENISAPOT

Mie mwenzenu napenda vitu Unique yani nikiwa nacho kisiwe common,So kesho nitawaekea cocer za simu kaliii wenyewe mtafurahi.

Kwa wale mlionambia niweke nywele labda  tu niwaambie mie sio mpenzi wa nywele so sizijui!!So wewe kama unataka nywele wasiliana nami niambie nywele gani unataka mie ndio nitaanzia hapo kufanyia kazi suala lako.Hope tumeelewan wapendwa.
    

    Sijawasahau wale naotaka tufanye biashara kwa jumla,nafanyia kazi maombi yenu wapendwa.Nitakapokuwa tayari tutafahamishana humuhumu.

      Thanx kwa wale wote mnaonisapoti nawapenda mnooo nataraji mtaendelea kunisapoti