![]() |
| Pendeza sana HotLulu |
![]() |
| Hot |
![]() |
| Sexy Wolper,ila jifunze kupozi na dress yenye mpasuo |
| Yeeww hapo sasa ndio mwake sexyyyy |
![]() |
| Madam lukin gud ila |
![]() |
| Lace dress imekaa magala pake |
![]() |
| Next time ujipange hapo kifuani mamii |
![]() |
| Mi nadhani hapakuwa na haja ya kushika hiyo nguo acha tuone wenyew mpasuo,na hiyo bra ya pink ni BIG NO! |
![]() |
| Dress imekuangusha mamii kawaida sana,next time uvae kiatu size yako |
![]() |
| MMHHH!! |
![]() |
| Elsy lovey the fashionista mie sijaelewa hizo soksi apo chini |
![]() |
| Baba Haji ni nini iko umevaa kwenye Red Carpet? |
![]() |
| Ivi umewahi kumuona Denzel na funguo za gari kwenye Red Carpet?! |
| Too casual Ray |
| Petit man |
![]() |
| Nimemuelewa Ombeni |
HAYA YOTE NI MAWAZO YANGU TU NA SI KWAMBA IMI NDIO NAJUA SANA NIMEJIONEA VITUKO VINGI KWENYE HIYO RED CARPTET NIKAWASHWA KUPOST HIVI.ALL IN ALL WENGI WALIPENDEZA SANA
















No comments:
Post a Comment